sw_tn/2th/03/16.md

20 lines
566 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
Paulo anahitimisha maoni/ ufafanuzi wake wakristo wa Thesalonike.
# Bwana wa amani mwenyewe awape ninyi
Unaweza kuweka wazi kuwa haya ni maombi ya Paulo kwa Wathesalonike. AT: "Ninaomba kwamba Bwana wa amani mwenyewe awapeni..."
# Bwana wa amani mwenyewe
"Mwenyewe" inaelezea kwamba Bwana mwenyewe atawapa amani wakristo.
# Hii ni salamu yangu mwenyewe, Paulo, kwa mikono yangu mwenyewe
"Mimi, Paulo, naandika salamu kwa mkono wangu mwenyewe"
# Hivi ndivyo niandikavyo
Paul anaweka wazi kwamba hii barua inatoka kwake na sio ya kubumba