# Maelezo ya Jumla: Paulo anahitimisha maoni/ ufafanuzi wake wakristo wa Thesalonike. # Bwana wa amani mwenyewe awape ninyi Unaweza kuweka wazi kuwa haya ni maombi ya Paulo kwa Wathesalonike. AT: "Ninaomba kwamba Bwana wa amani mwenyewe awapeni..." # Bwana wa amani mwenyewe "Mwenyewe" inaelezea kwamba Bwana mwenyewe atawapa amani wakristo. # Hii ni salamu yangu mwenyewe, Paulo, kwa mikono yangu mwenyewe "Mimi, Paulo, naandika salamu kwa mkono wangu mwenyewe" # Hivi ndivyo niandikavyo Paul anaweka wazi kwamba hii barua inatoka kwake na sio ya kubumba