sw_tn/2th/01/03.md

32 lines
776 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
Paulo anatoa shukrani kwa ajili ya waumini katika kanisa la Thesalonike.
# kupaswa kutoa shukrani kwa Mungu
Paulo anasema anapaswa kumshukuru Mungu mara kwa mara.
# ndugu
Hapa "ndugu" inamaanisha Wakristo wenzetu, ikijumuisha wanaume kwa wanawake.
# Hivi ndivyo ipasavyo
"kwa kuwa hiki ni kitu sahihi cha kufanya" au " ni vyema"
# Upendo ambao kwa kila mmoja amefungamanishwa na mwenzake
"mnapendana nyinyi kwa nyinyi"
# kila mtu na mwenzake
Kila mtu na mwenzake lina maanisha Wakristo wenzetu."
# sisi wenyewe
Hapa "wenyewe" limetumika kusisitiza kujisifu kwa Paulo.
# kwamba mpate kuhesabiwa kuwa mnastahili kwa ajili ya ufalme wa Mungu.
Hii inakwemwa katika muundo tendaji. AT: "kwamba Mungu atawahesu kuwa wa sehemu ya ufalme wa Mungu."