# Maelezo ya Jumla: Paulo anatoa shukrani kwa ajili ya waumini katika kanisa la Thesalonike. # kupaswa kutoa shukrani kwa Mungu Paulo anasema anapaswa kumshukuru Mungu mara kwa mara. # ndugu Hapa "ndugu" inamaanisha Wakristo wenzetu, ikijumuisha wanaume kwa wanawake. # Hivi ndivyo ipasavyo "kwa kuwa hiki ni kitu sahihi cha kufanya" au " ni vyema" # Upendo ambao kwa kila mmoja amefungamanishwa na mwenzake "mnapendana nyinyi kwa nyinyi" # kila mtu na mwenzake Kila mtu na mwenzake lina maanisha Wakristo wenzetu." # sisi wenyewe Hapa "wenyewe" limetumika kusisitiza kujisifu kwa Paulo. # kwamba mpate kuhesabiwa kuwa mnastahili kwa ajili ya ufalme wa Mungu. Hii inakwemwa katika muundo tendaji. AT: "kwamba Mungu atawahesu kuwa wa sehemu ya ufalme wa Mungu."