sw_tn/2sa/24/03.md

12 lines
320 B
Markdown

# wazidishe... mara mia zaidi
Inamaanisha "kuzalisha watu mia moja kwa kila mtu aliyekuwepo wakati huo."
# neno la mfalme lilikuwa la mwisho dhidi ya Yoabu
Yoabu na majemedari wengine wa Mfalme Daudi hawakufanikiwa kumshawishi Daudi kutochukua sensa.
# neno la mfalme
Kifungu kinawakilisha agizo la mfalme juu yao.