# wazidishe... mara mia zaidi Inamaanisha "kuzalisha watu mia moja kwa kila mtu aliyekuwepo wakati huo." # neno la mfalme lilikuwa la mwisho dhidi ya Yoabu Yoabu na majemedari wengine wa Mfalme Daudi hawakufanikiwa kumshawishi Daudi kutochukua sensa. # neno la mfalme Kifungu kinawakilisha agizo la mfalme juu yao.