sw_tn/2sa/22/10.md

24 lines
651 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
Wimbo wa Daudi kwa Yahwe unaendelea. Anatumia usambaba kusisitiza akisemacho
# Alizifungua mbingu... akamwaga mawingu angani
Daudi anazungumzia njia za Yahwe kwa kumwokoa Daudi kutoka kwa adui zake kama mawingu ya dhoruba yakusanyikayo juu ya sehemu. Hii inasisitiza nguvu za Mungu na hasira yake.
# chini ya miguu yake
Daudi anamzungumzia Mungu kama ana miguu ya watu.
# Alionekana katika mawingu ya upepo
Yaweza kuwa "alionekana juu ya mawingu ya upepo"
# mawingu ya upepo
Hii inaonesha upepo kama ulikuwa ni ndege
# Na akafanya giza hema kumzunguka
Giza alilolifanya Yahwe linalinganishwa na hema limfichalo kabisa.