sw_tn/2sa/18/28.md

20 lines
462 B
Markdown

# akainama yeye mwenyewe uso wake chini mbele ya mfalme
Alifanya hivi ili kumweshimu Mfalme.
# Atukuzwe Yahwe
"Atukuzwe Yahwe." Hapa "kubarika inamaanisha kutukuza.
# watu walioinua mkono wao kinyume cha bwana wangu mfalme
Hapa Ahimaasi anazungumzia watu wanaompinga mfalme kama vile walikuwa wakiinua mikono yao juu yake.
# fujo kubwa
Hii inamaanisha kuwa watu walikuwa wakifanya mambo kama hayakuwa sawa
# Geuka kando
"Toka njiani" au "simama kando"