# akainama yeye mwenyewe uso wake chini mbele ya mfalme Alifanya hivi ili kumweshimu Mfalme. # Atukuzwe Yahwe "Atukuzwe Yahwe." Hapa "kubarika inamaanisha kutukuza. # watu walioinua mkono wao kinyume cha bwana wangu mfalme Hapa Ahimaasi anazungumzia watu wanaompinga mfalme kama vile walikuwa wakiinua mikono yao juu yake. # fujo kubwa Hii inamaanisha kuwa watu walikuwa wakifanya mambo kama hayakuwa sawa # Geuka kando "Toka njiani" au "simama kando"