sw_tn/2sa/18/12.md

20 lines
532 B
Markdown

# shekeli elfu za fedha
"shekeli 1,000 za fedha." Katika vipimo vya sasa ni sawa na salafu 1,000" au "kilo 11 za sarafu"
# nisingeinua mkono wangu juu ya mwana wa mfalme
Kifungu "kuinua mkono" kinamaana ya kushambulia.
# Mtu asimguse
Hapa "kugusa" inamaanisha "kudhuru"
# Uongo
Neno "uongo" laweza kuelezwa kwa kirai kitenzi. Lakini pia inahusu kutotii agizo la mfalme.
# Hakuna cha kufichika kwa mfalme
Hii inamaana jinsi mfalme anavyojua karibu kila kitu kitendekacho kama vile kila kitu kilikuwa na umbo kujua kilipo.