# shekeli elfu za fedha "shekeli 1,000 za fedha." Katika vipimo vya sasa ni sawa na salafu 1,000" au "kilo 11 za sarafu" # nisingeinua mkono wangu juu ya mwana wa mfalme Kifungu "kuinua mkono" kinamaana ya kushambulia. # Mtu asimguse Hapa "kugusa" inamaanisha "kudhuru" # Uongo Neno "uongo" laweza kuelezwa kwa kirai kitenzi. Lakini pia inahusu kutotii agizo la mfalme. # Hakuna cha kufichika kwa mfalme Hii inamaana jinsi mfalme anavyojua karibu kila kitu kitendekacho kama vile kila kitu kilikuwa na umbo kujua kilipo.