sw_tn/2sa/18/09.md

32 lines
656 B
Markdown

# Ikatukia kwamba Absalomu akakutana na askari wa Daudi
Hili ni tukio lilotokea wakati wa vita.
# na kichwa chake kikanaswa katika matawi ya mti
Absalomu alikuwa na nywele ndefu zilizonasa kwenye matawi ya mti.
# Tazama
Neno hili linavuta makini ya mtu kwa ajili ya kinachofuata.
# Ning'inia
Kuelea juu bila kukanyaga juu ya nchi au kitu.
# kati ya nchi na anga
"Hewani"
# Kwa nini haukumpiga hata chini
Swali hili linamaanisha alipaswa kuwa amemuua.
# shekeli kumi za fedha na mkanda
Katika viwango vya sasa ni sawa na gramu 110 za fedha.
# mkanda
Huu ni mkanda maalumu unaoonesha kwamba mtu fulani ni askari mwenye cheo ili apewe heshima.