sw_tn/2sa/17/01.md

44 lines
757 B
Markdown

# Ahithofeli
Hili ni jina la mwanamke
# Watu kumi na mbili elfu
"watu 12,000"
# inuka na
"kuanza ku"
# njoo
"Kuja kwa"
# amechoka na dhaifu
Kimsingi maneno haya yanamaanisha kitu kimoja na yanatumika kwa pamoja kusisitiza jinsi Daudi alivyokuwa dhaifu.
# tutamshangaza kwa hofu
Hapa neno "hofu" laweza kuelezwa kwa kisifa "kuogopa."
# Nitamshambulia mfalme peke yake
Inaonesha kwamba alikusudia kumwua mfalme.
# kuwarudisha watu wote
Hii inamaanisha watu wote waliokuwa pamoja na Daudi.
# kama bibi harusi akija kwa mmewe
Hapa Ahithofeli anazunguza furaha ya watu kwa kulinganisha na furaha ya bibi harusi.
# Kuwa katika amani
Hii inamaanisha kuwa na amani au kuishi kwa amani.
# chini yako
Hii inahusu kuwa chini ya mamlaka ya mfalme.