# Ahithofeli Hili ni jina la mwanamke # Watu kumi na mbili elfu "watu 12,000" # inuka na "kuanza ku" # njoo "Kuja kwa" # amechoka na dhaifu Kimsingi maneno haya yanamaanisha kitu kimoja na yanatumika kwa pamoja kusisitiza jinsi Daudi alivyokuwa dhaifu. # tutamshangaza kwa hofu Hapa neno "hofu" laweza kuelezwa kwa kisifa "kuogopa." # Nitamshambulia mfalme peke yake Inaonesha kwamba alikusudia kumwua mfalme. # kuwarudisha watu wote Hii inamaanisha watu wote waliokuwa pamoja na Daudi. # kama bibi harusi akija kwa mmewe Hapa Ahithofeli anazunguza furaha ya watu kwa kulinganisha na furaha ya bibi harusi. # Kuwa katika amani Hii inamaanisha kuwa na amani au kuishi kwa amani. # chini yako Hii inahusu kuwa chini ya mamlaka ya mfalme.