sw_tn/2sa/16/11.md

28 lines
782 B
Markdown

# Mwanangu, aliyetoka katika mwili wangu
Daudi anamweleza mwanawe katika njia hii kusisitiza ukaribu uliopo kati ya baba na mwana.
# anataka kuchukua uhai wangu
Hii ni njia laini ya kuonesha hali ya kumwua mtu.
# Si zaidi sana mbenjamini huyu akatamani anguko langu
Daudi anatumia swali hili kuonesha kwamba hashangazwi kwamba mtu yule anataka kumwua.
# anatamani anguko langu
Hapa Daudi anaelezea tamaa ya mtu ya kumwua kama vile Daudi alikuwa kitu ambacho mtu alitaka kukiangamiza.
# Mwache peke yake alaani
Hapa kifungu "mwache peke yake" kinamaanisha kuacha kumzuia kufanya anachokifanya.
# ataangalia
Hapa "kutazama" kunamaanisha "kujari"
# maangaiko niliyofungiwa
Hapa Daudi anazungumzia maangaiko kama vile yalikuwa ni mnyama mkari ambaye Mbenjamini amemfungia.