# Mwanangu, aliyetoka katika mwili wangu Daudi anamweleza mwanawe katika njia hii kusisitiza ukaribu uliopo kati ya baba na mwana. # anataka kuchukua uhai wangu Hii ni njia laini ya kuonesha hali ya kumwua mtu. # Si zaidi sana mbenjamini huyu akatamani anguko langu Daudi anatumia swali hili kuonesha kwamba hashangazwi kwamba mtu yule anataka kumwua. # anatamani anguko langu Hapa Daudi anaelezea tamaa ya mtu ya kumwua kama vile Daudi alikuwa kitu ambacho mtu alitaka kukiangamiza. # Mwache peke yake alaani Hapa kifungu "mwache peke yake" kinamaanisha kuacha kumzuia kufanya anachokifanya. # ataangalia Hapa "kutazama" kunamaanisha "kujari" # maangaiko niliyofungiwa Hapa Daudi anazungumzia maangaiko kama vile yalikuwa ni mnyama mkari ambaye Mbenjamini amemfungia.