sw_tn/2sa/15/32.md

28 lines
632 B
Markdown

# Ikawa
"Ilitukia." Kifungu hiki kinaonesha tukio linalofuata katika habari.
# juu njiani
Neno "juu" limetumika hapa kwa sababu Daudi alipanda juu katika mwinuko na yupo juu ya kilima.
# Mahali Mungu alipokuwa akiabudiwa
Hii inaweza kuelezwa kuwa "mahali ambapo watu walikuwa wakimwabudu Mungu"
# Hushai
Hili ni jina la mwanamme.
# Mwarki
Hili ni jina la kundi la watu.
# Vazi lake likiwa limechanwa na udongo kichwani
Hili ni tendo la kuonesha aibu au toba. Hapa neno "udongo" linamaanisha uchafu.
# Utalibadili shauri la Aithofeli kwa ajili yangu
Maoni ya Daudi kwa Hushai kwamba apinge kile Aithofeli anachoshauri.