# Ikawa "Ilitukia." Kifungu hiki kinaonesha tukio linalofuata katika habari. # juu njiani Neno "juu" limetumika hapa kwa sababu Daudi alipanda juu katika mwinuko na yupo juu ya kilima. # Mahali Mungu alipokuwa akiabudiwa Hii inaweza kuelezwa kuwa "mahali ambapo watu walikuwa wakimwabudu Mungu" # Hushai Hili ni jina la mwanamme. # Mwarki Hili ni jina la kundi la watu. # Vazi lake likiwa limechanwa na udongo kichwani Hili ni tendo la kuonesha aibu au toba. Hapa neno "udongo" linamaanisha uchafu. # Utalibadili shauri la Aithofeli kwa ajili yangu Maoni ya Daudi kwa Hushai kwamba apinge kile Aithofeli anachoshauri.