sw_tn/2sa/15/21.md

24 lines
614 B
Markdown

# Kama Yahwe aishivyo, na kama bwana wangu mfalme aishivyo
Hapa mwandisha anafanya ahadi ya dhadi. Analinganisha uhakika wa kutimiza ahadi kwa uhakika wa kuishi kwa mfalme na Yahwe.
# mtumishi wako
Itai anajitaja kwa heshima ya mfalme.
# kwamba ni maisha au kifo
"hata kama nitauawa nikikusaidia"
# Nchi yote ikalia kwa sauti kuu
Wengi wa watu wa Israeli walilia kwa sauti walipomwona mfalme akiondoka. Huku ni kutia chumvi kwamba nchi yote ililia.
# kwa sauti kuu
Hapa watu wengi waliokuwa wakilia wanatajwa kama walishirikiana sauti kuu.
# Bonde la Kidroni
Hili ni jina la eneo karibu na Yerusalemu