sw_tn/2sa/13/27.md

24 lines
641 B
Markdown

# Absalomu alimsihi Daudi
Hapa mwandishi anamzungumzia Absalomu akimsihi Daudi kumwacha Amnoni kuja kama vile kuweka msukumu wa kimwili juu yake.
# Msiogope
Hii inamaanishi hawaitaji kuogopa matokeo ya kumwua Amnoni.
# Je siyo mimi niliyewaagiza?
Absalomu anauliza swali hili kusistiza kwamba atalaumiwa yeye kwa kuagiza wafanye hivyo.
# si kuwaagiza
Kile alichokiagiza Absalomu kinaweza kuelezwa kwa swali kama je sikuwaagiza kumwua?
# wana wote wa mfalme
Hii haiwahusishi Absalomu na Amnoni aliyekufa. Inawahusu wana wa mfalme aliowaruhusu kwenda kwenye sherehe.
# kila mtu
Hii inahusisha wana wa mfalme walioondoka shereheni.