# Absalomu alimsihi Daudi Hapa mwandishi anamzungumzia Absalomu akimsihi Daudi kumwacha Amnoni kuja kama vile kuweka msukumu wa kimwili juu yake. # Msiogope Hii inamaanishi hawaitaji kuogopa matokeo ya kumwua Amnoni. # Je siyo mimi niliyewaagiza? Absalomu anauliza swali hili kusistiza kwamba atalaumiwa yeye kwa kuagiza wafanye hivyo. # si kuwaagiza Kile alichokiagiza Absalomu kinaweza kuelezwa kwa swali kama je sikuwaagiza kumwua? # wana wote wa mfalme Hii haiwahusishi Absalomu na Amnoni aliyekufa. Inawahusu wana wa mfalme aliowaruhusu kwenda kwenye sherehe. # kila mtu Hii inahusisha wana wa mfalme walioondoka shereheni.