sw_tn/2sa/13/20.md

20 lines
377 B
Markdown

# Je amekuwa nawe Amnoni nduguyo?
Hii ni njia laini ya kuuliza je Amnoni amekuwa na uhusiano wa tendo la ndoa nawe.
# Nyamaza
Hii inamaanisha kutomwambia mtu juu ya jambo fulani.
# Usiliweke jambo hili moyoni
Kifungu "kuweka jambo moyoni" inamaanisha "kuhofu juu yake."
# Hivyo Tamari akabaki peke yake
Hii inamaanisha kwamba hakuolewa.
# hakusema lolote
"alinyamaza"