# Je amekuwa nawe Amnoni nduguyo? Hii ni njia laini ya kuuliza je Amnoni amekuwa na uhusiano wa tendo la ndoa nawe. # Nyamaza Hii inamaanisha kutomwambia mtu juu ya jambo fulani. # Usiliweke jambo hili moyoni Kifungu "kuweka jambo moyoni" inamaanisha "kuhofu juu yake." # Hivyo Tamari akabaki peke yake Hii inamaanisha kwamba hakuolewa. # hakusema lolote "alinyamaza"