sw_tn/2sa/13/03.md

16 lines
301 B
Markdown

# Yehonadabu mwana wa Shama, nduguye Daudi
Haya ni majina ya wanaume. Shama alikuwa kaka wa Daudi.
# Mwelevu
mwenye akili au mdanganyifu
# Kuwa na mawazo
Ni hali ya kihisia au huzuni ya hali ya juu
# Je hautaniambia?
Swali hili ni ombi la Yehonadabu ili aambiwe kwa nini Amnoni ana hali hiyo.