# Yehonadabu mwana wa Shama, nduguye Daudi Haya ni majina ya wanaume. Shama alikuwa kaka wa Daudi. # Mwelevu mwenye akili au mdanganyifu # Kuwa na mawazo Ni hali ya kihisia au huzuni ya hali ya juu # Je hautaniambia? Swali hili ni ombi la Yehonadabu ili aambiwe kwa nini Amnoni ana hali hiyo.