sw_tn/2sa/12/24.md

12 lines
421 B
Markdown

# Akaingia kwake, na kulala naye
Kifungu "kuingia kwake" ni tamathali ya kuonesha kwamba Daudi alifanya tendo la ndoa na mkewe. Vifungu hivi viwili vinamaana moja na vinatumika kusisitiza kwamba walilala pamoja.
# Alituma neno kupitia nabii Nathani
Hapa "neno" inarejerea kwa Yahwe aliyemwambia Nathani kumwambia Daudi.
# Yedidia
Hili ni jina lingine la Sulemani mwana wa Daudi, Yahwe alilolichagua kwa ajili yake.