sw_tn/2sa/12/14.md

16 lines
375 B
Markdown

# Kudharau
Kutokupenda au kumchukia mtu au kitu
# Yahwe alimpiga mtoto... na akawa mgonjwa sana.
Yahwe anaonekana kusababisha ugonjwa wa mtoto kama vili amempiga.
# mtoto aliyezaliwa kwako
Kifungu "kuzaliwa kwako" inamaanisha kwamba huyu ni mtoto wa Daudi
# Mtoto ambaye mke wa Uria alimzalia Daudi
Hii inamaana kwamba alizaa mtoto ambaye Daudi ndo alikuwa baba yake.