# Kudharau Kutokupenda au kumchukia mtu au kitu # Yahwe alimpiga mtoto... na akawa mgonjwa sana. Yahwe anaonekana kusababisha ugonjwa wa mtoto kama vili amempiga. # mtoto aliyezaliwa kwako Kifungu "kuzaliwa kwako" inamaanisha kwamba huyu ni mtoto wa Daudi # Mtoto ambaye mke wa Uria alimzalia Daudi Hii inamaana kwamba alizaa mtoto ambaye Daudi ndo alikuwa baba yake.