sw_tn/2sa/11/14.md

16 lines
280 B
Markdown

# akaituma kwa mkono wa Uria
Kifungu "mkono wa Uria" inamrejea Uria mwenyewe.
# Mbele kabisa ya vita vikali zaidi
"mbele zaidi ya vita mahali ambapo vita ni vikali sana"
# Kumwacha
"Amru askari kurudi nyuma na kumwacha"
# awe amepigwa na kuuawa
"Awe amejeruhiwa na kuuawa"