# akaituma kwa mkono wa Uria Kifungu "mkono wa Uria" inamrejea Uria mwenyewe. # Mbele kabisa ya vita vikali zaidi "mbele zaidi ya vita mahali ambapo vita ni vikali sana" # Kumwacha "Amru askari kurudi nyuma na kumwacha" # awe amepigwa na kuuawa "Awe amejeruhiwa na kuuawa"