sw_tn/2sa/08/15.md

16 lines
357 B
Markdown

# Yoabu mwana wa Seruya
Hili ni jina la mwanaume
# Ahiludi... Ahitubu... Ahimeleki... Seraya... Yehoiada
Haya ni majina ya wanaume.
# Ahiludi alikuwa mwenye kuandika taarifa.
Mwandishi alikuwa mtu aliyekuwa akiongea na watu na kuwambia matangazo ya mfalme.
# Wakerethi... Wapelethi
Haya ni majina ya makundi ya watu. Hawa walikuwa walinzi wa Daudi.