# Yoabu mwana wa Seruya Hili ni jina la mwanaume # Ahiludi... Ahitubu... Ahimeleki... Seraya... Yehoiada Haya ni majina ya wanaume. # Ahiludi alikuwa mwenye kuandika taarifa. Mwandishi alikuwa mtu aliyekuwa akiongea na watu na kuwambia matangazo ya mfalme. # Wakerethi... Wapelethi Haya ni majina ya makundi ya watu. Hawa walikuwa walinzi wa Daudi.