sw_tn/2sa/07/24.md

28 lines
729 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Daudi aliendelea kuongea na Yahwe.
# Hivyo basi
Hapa "basi" haimaanishi "sasa," lakini inatumika kuleta usikivu kwa jambo muhimu kama ifuatavyo.
# Na ahadi uliyoifanya kuhusu mtumishi wako na familia yake iwe imara daima
Hii inaweza kuelezwa kwa muundo tendaji. Yaani: "Na ufanye ulichoniahidi na familia yangu, na ahadi yako isibadilike"
# mtumishi wako na familia yake
Daudi anajisema katika nafsi ya tatu. Yaweza kuwa: "mimi na familia yangu"
# Jina lako na liwe kuu daima
Hapa "jina" inawakilisha heshima ya Yahwe.
# Nyumba yangu, Daudi, mtumishi wako
Hapa "nyumba" inawakilisha familia.
# Umethibitishwa mbele yako
Hii yaweza kuwa "ni salama kwa sababu wewe" au "unaendelea kwa sababu yako"