sw_tn/2sa/07/12.md

32 lines
916 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Yahwe anaendelea kueleza ahadi zake kwa Mfalme Daudi kupitia nabii Nathani.
# Siku zako zitakapokamilika na ukalala na baba zako
Vifungu hivi viwili vina maana sawa na vimeunganishwa kwa msisitizo. Vyote ni njia ya nyepesi ya kuonesha kifo na kufa.
# Nitainua mzao baada yako
Yahwe aliteua mzao wa Daudi inaoneshwa kama Yahwe angeinua juu.
# atakaye toka katika mwili wako
Usemi huu unamaanisha kwamba mtu huyo atakuwa mzao wa Daudi.
# Nitauimarisha ufalme wake
Hapa "ufalme wake" inawakilisha nguvu ya kumiliki.
# nyumba kwa jina langu
Hapa "jina" renarejea kwa Yahwe. Yaani: "makazi yangu ya kudumu"
# Nitakifanya imara kiti cha enzi cha ufalme wake daima.
Hapa "kiti cha enzi" inawakilisha nguvu ya mtu kumilki kama mfalme.
# Nitakuwa baba kwake, naye atakuwa mwanangu
Unabii katika 7:12-14 unarejea kwa Sulemani, mwana wa Daudi. Lakini, mambo ya unabii yatatimizwa na Yesu.