sw_tn/2sa/07/03.md

28 lines
993 B
Markdown

# fanya lililomo moyoni mwako
Hapa "moyo" unawakilisha akili. Yaani: "fanya unalofikiri linapaswa kufanyika"
# maana Yahwe yupo nawe
Hapa "pamoja nawe" linamaanisha Mungu anamsaidia na kumbariki Daudi.
# neno la Yahwe lilikuja
Hii ni aina ya usemi kumaanisha kwamba Yahwe alisema. "Yahwe alisema ujumbe"
# neno la Yahwe
Hapa "neno" linawakilisha ujumbe wa Yahwe
# na akasema, "Nenda na umwambie Daudi mtumishi wangu, 'Hivi ndivyo asemavyo Yahwe: Je wewe utanijengea nyumba ya kuishi?
Hii ina nukuu ndani ya nukuu. Yaani: "na kusema, "Nenda na umuulize Daudi kama anadhani atakuwa ndiye wa kunijengea nyumba nitakayoishi."
# Je wewe utanijengea nyumba ya kuishi?
Yahwe anatumia nukuu kusisitiza kwamba Daudi hatajenga nyumba kwa ajili ya Yahwe. Nukuu hii inaweza kufasiriwa kama taarifa. Yaani: "Hautanijengea nyumba ya kuishi"
# kunijengea nyumba
Hapa nyumba inamaanisha hekalu. Katika 7:11 Yahwe atasema kwamba atamjengea Daudi nyumba. Pale "nyumba" inamaanisha familia.