sw_tn/2sa/06/14.md

20 lines
558 B
Markdown

# Daudi akacheza mbele ya Yahwe kwa nguvu zake zote
Kucheza hapa ni aina ya kumwabudu Yahwe kwa furaha.
# kitani
nguo iliyotengenezwa kutokana na nyuzi za mti wa kitani.
# nyumba yote ya Israeli
Hapa "nyumba" inawakilisha watu wa Israeli. Yaani: "Waisraeli wengine wote pamoja naye"
# kulipandisha sanduku la Yahwe
Yerusalemu ilikuwa juu pengine kuliko eneo lolote katika Israeli, hivyo ilikuwa kawaida kwa Waisreali kusema juu ya kupanda kwenda au kushuka kutoka Yerusalemu.
# kupandisha
kifungu hiki"kupandisha" chaweza kufasiriwa kama "chukua."