# Daudi akacheza mbele ya Yahwe kwa nguvu zake zote Kucheza hapa ni aina ya kumwabudu Yahwe kwa furaha. # kitani nguo iliyotengenezwa kutokana na nyuzi za mti wa kitani. # nyumba yote ya Israeli Hapa "nyumba" inawakilisha watu wa Israeli. Yaani: "Waisraeli wengine wote pamoja naye" # kulipandisha sanduku la Yahwe Yerusalemu ilikuwa juu pengine kuliko eneo lolote katika Israeli, hivyo ilikuwa kawaida kwa Waisreali kusema juu ya kupanda kwenda au kushuka kutoka Yerusalemu. # kupandisha kifungu hiki"kupandisha" chaweza kufasiriwa kama "chukua."