sw_tn/2sa/06/01.md

40 lines
920 B
Markdown

# Basi
Neno hili linaonesha sehemu mpya ya taarifa.
# watu wote wateule wa Israeli
Aina hii ya maana inawakilisha jeshi la taifa la Israeli.
# Elfu thelathini
"30,000"
# kutoka Baala katika Yuda kulileta sanduku kutoka pale
Inaonesha kuwa wanalichukua sanduku kutoka Yerusalemu. Yaani: "kutoka Baala uliopo Yuda kulipeleka Sanduku la Mungu huko Yerusalemu"
# kulileta sanduku la Mungu kutoka pale
Yerusalemu ilikuwa juu kuliko pengine sehemu nyingine yoyote katika Israeli, hivyo ilikuwa kawaida kwa Waisraeli kusema kukwea au kushuka kutoka Yerusalemu.
# kulipandisha
Neno "leta" laweza kutafsiriwa kama "chukua."
# Baala
Hili ni jina la mahali
# ambalo linaitwa kwa jina langu Yahwe wa majeshi
Jina la Yahwe lilikuwa limeandikwa juu ya sanduku.
# akaaye juu ya makerubi
"akaaye katika sehemu ya mamlaka kati ya makerubi"
# kukaa katika kiti cha enzi
kukaa juu ya kiti cha enzi au mahali pa mamlaka