# Basi Neno hili linaonesha sehemu mpya ya taarifa. # watu wote wateule wa Israeli Aina hii ya maana inawakilisha jeshi la taifa la Israeli. # Elfu thelathini "30,000" # kutoka Baala katika Yuda kulileta sanduku kutoka pale Inaonesha kuwa wanalichukua sanduku kutoka Yerusalemu. Yaani: "kutoka Baala uliopo Yuda kulipeleka Sanduku la Mungu huko Yerusalemu" # kulileta sanduku la Mungu kutoka pale Yerusalemu ilikuwa juu kuliko pengine sehemu nyingine yoyote katika Israeli, hivyo ilikuwa kawaida kwa Waisraeli kusema kukwea au kushuka kutoka Yerusalemu. # kulipandisha Neno "leta" laweza kutafsiriwa kama "chukua." # Baala Hili ni jina la mahali # ambalo linaitwa kwa jina langu Yahwe wa majeshi Jina la Yahwe lilikuwa limeandikwa juu ya sanduku. # akaaye juu ya makerubi "akaaye katika sehemu ya mamlaka kati ya makerubi" # kukaa katika kiti cha enzi kukaa juu ya kiti cha enzi au mahali pa mamlaka