sw_tn/2sa/05/24.md

12 lines
409 B
Markdown

# Mtakaposikia...Yahwe atakuwa amekwenda mbele yenu kulipiga jeshi la Wafilisiti
Hii ni mwendelezo wa maelekezo ya Yahwe kwa Daudi yaliyoanza katika 5:22. Yahwe hapa anajisema katika nafsi ya tatu.
# Mtakaposikia sauti ya kwenda katika upepo ukivuma kupitia juu ya miti ya miforsadi
"Wakati upepo unavuma kupitia juu ya miti ya miforsadi kama watu wanaotembea"
# Geba...Gezeri
Haya ni majina ya mahali.