# Mtakaposikia...Yahwe atakuwa amekwenda mbele yenu kulipiga jeshi la Wafilisiti Hii ni mwendelezo wa maelekezo ya Yahwe kwa Daudi yaliyoanza katika 5:22. Yahwe hapa anajisema katika nafsi ya tatu. # Mtakaposikia sauti ya kwenda katika upepo ukivuma kupitia juu ya miti ya miforsadi "Wakati upepo unavuma kupitia juu ya miti ya miforsadi kama watu wanaotembea" # Geba...Gezeri Haya ni majina ya mahali.