sw_tn/2sa/05/01.md

16 lines
584 B
Markdown

# tu nyama na mfupa wako
Kifungu kinamaanisha "undugu." Yaani "sisi tunauhusiano nawe" au sisi tu wa familia moja."
# wakati mfupi uliopita
Hii ni habari ya kihistoria. Sauli alikuwa mfalme wao kabla ya Daudi.
# Utawachunga watu wangu Israeli, nawe utakuwa mtawala juu ya Israeli
Vishazi viwili hivi vinamaanisha kimsingi jambo moja na linasistiza kwamba Yahwe alikuwa amemchagua Daudi kuwa mfalme.
# Utawachunga watu wngu Israeli
Hapa kuwatawala watu kunazungumzwa kana kwamba ni kuwachunga. Yaani: "utawaangalia watu wangu Israeli" au "Utatawala juu ya Israeli watu wangu"