sw_tn/2sa/03/02.md

16 lines
338 B
Markdown

# wana walizaliwa kwa Daudi
Hii inaweza kutaafiwa katika muundo tendaji. Yaani wake wa Daudi walizaa wana sita
# mzaliwa wa kwanza...mwana wa pili...tatu
Hii ni hesabu kwa mpangilio wa wana wa Daudi
# Ahinoamu...Abigaili...Maaka
Haya ni majina ya wanawake. Ni wake wa Daudi.
# Kileabu...Nabali...Talmai
Haya ni majina ya wanaume.