# wana walizaliwa kwa Daudi Hii inaweza kutaafiwa katika muundo tendaji. Yaani wake wa Daudi walizaa wana sita # mzaliwa wa kwanza...mwana wa pili...tatu Hii ni hesabu kwa mpangilio wa wana wa Daudi # Ahinoamu...Abigaili...Maaka Haya ni majina ya wanawake. Ni wake wa Daudi. # Kileabu...Nabali...Talmai Haya ni majina ya wanaume.