sw_tn/2pe/02/12.md

32 lines
1004 B
Markdown

# hawa wanyama wasio na akili
Kama vile wanyama wasivyoweza kueleza kwa mantiki, vivyo hivyo hawa watu hawaezi kuwa na mantiki, "Hawa walimu wa uongo wako kama wanyama wasio na akili"
# Hawajui wanachotukana
Huongea uovu ambao hawaujui
# wataangamizwa
Mungu atwaangamiza watu hawa
# Wataumizwa kwa ujira wa maovu yao
"Wanachofikiri kuwa ni kizuri kwao, kiuhalisia ni kibaya kwao"
# Wamejaa uovu na uchafu
Neno "uchafu" na "uovu" vinamaanisha maana moja. Waalimu wa uongo hufedhehesha na kutahayarisha amabavyo ni sawa na uchafu na uovu ambavyo mtu hawezi kviondoa
# hufurahia udanganyifu wanaposherehekea na wewe
huendele katika furaha ya kuwadanganya watu wasio hatia na katika macho yao hawaonyeshi hatia
# macho yao yamefunikwa na uzinzi, hwatosheki kutenda dhambi
"wanatamani kila mwanmke wanayemuona na kamwe hawatosheki"
# wana mioyo iliyofunzwa kujaa tamaa
" inawakirisha mtu kama kamili, alifunzwa katika mawazo na na mattendo ya uchoyo. wanatamani utajiri na miliki isiyo haki.