# hawa wanyama wasio na akili Kama vile wanyama wasivyoweza kueleza kwa mantiki, vivyo hivyo hawa watu hawaezi kuwa na mantiki, "Hawa walimu wa uongo wako kama wanyama wasio na akili" # Hawajui wanachotukana Huongea uovu ambao hawaujui # wataangamizwa Mungu atwaangamiza watu hawa # Wataumizwa kwa ujira wa maovu yao "Wanachofikiri kuwa ni kizuri kwao, kiuhalisia ni kibaya kwao" # Wamejaa uovu na uchafu Neno "uchafu" na "uovu" vinamaanisha maana moja. Waalimu wa uongo hufedhehesha na kutahayarisha amabavyo ni sawa na uchafu na uovu ambavyo mtu hawezi kviondoa # hufurahia udanganyifu wanaposherehekea na wewe huendele katika furaha ya kuwadanganya watu wasio hatia na katika macho yao hawaonyeshi hatia # macho yao yamefunikwa na uzinzi, hwatosheki kutenda dhambi "wanatamani kila mwanmke wanayemuona na kamwe hawatosheki" # wana mioyo iliyofunzwa kujaa tamaa " inawakirisha mtu kama kamili, alifunzwa katika mawazo na na mattendo ya uchoyo. wanatamani utajiri na miliki isiyo haki.