sw_tn/2pe/02/10.md

28 lines
880 B
Markdown

# kwa hakika huu ndio ukweli
Neno "huu" linamaanisha Mungu kuwalinda watu wasio haki gerezani mpaka siku ya hukumu.
# wale wanaoendelea kuishi katika tamaa za mwili huu na kuyadharau mamlaka
Watu wasio haki wanaoendela kuishi katika tamaa ya mwilii na kuwachukia viongozi wao au watawala wao.
# mwili
Neno "mwili" linamaanisha ubinadamu katika dhambi ya asili ya mwanadamu
# wana ujasiri katika dhamiri zao
Neno "dhamiri" linamaanisha wale wanaoendelea katika uharibifu wa tamaa katika dhambi zao za asili na hawaheshimu malaika na mamlaka ya kiroho
# Hwaogopi kuwakufuru watukufu
Wasio haki hawaogopi kuwachokoza na kuwanenea maovu malaika
# malaika wana uwezo na nguvu kuliko wanadamu
Malaika wana nguvu za mwili na wa mamalka kuliko wanadamu
# Lakini hawawezi kuleta hukumu dhidi yao kwa Bwana
"lakini malaika hawaleti humu iumizayo dhidi ya hawa watu kwa Bwana"