# kwa hakika huu ndio ukweli Neno "huu" linamaanisha Mungu kuwalinda watu wasio haki gerezani mpaka siku ya hukumu. # wale wanaoendelea kuishi katika tamaa za mwili huu na kuyadharau mamlaka Watu wasio haki wanaoendela kuishi katika tamaa ya mwilii na kuwachukia viongozi wao au watawala wao. # mwili Neno "mwili" linamaanisha ubinadamu katika dhambi ya asili ya mwanadamu # wana ujasiri katika dhamiri zao Neno "dhamiri" linamaanisha wale wanaoendelea katika uharibifu wa tamaa katika dhambi zao za asili na hawaheshimu malaika na mamlaka ya kiroho # Hwaogopi kuwakufuru watukufu Wasio haki hawaogopi kuwachokoza na kuwanenea maovu malaika # malaika wana uwezo na nguvu kuliko wanadamu Malaika wana nguvu za mwili na wa mamalka kuliko wanadamu # Lakini hawawezi kuleta hukumu dhidi yao kwa Bwana "lakini malaika hawaleti humu iumizayo dhidi ya hawa watu kwa Bwana"