sw_tn/2pe/01/19.md

20 lines
701 B
Markdown

# Tunalo hili neno la unabii lililothibitika
Perto anamaanisha wale Mitume. Mitume wnaujumbe kutoka kwa malaika ambao wanajua kuwa ndiyo ukweli kutoka kwa Mungu
# Ambalo kwalo mwafanya vyema kulitekeleza
Petro anawaelekeza waumini kuwa na utayari kwa jumbe za kinabii
# Ni kama taa ing'aayo gizani mpaka kunapokucha
Ujumbe wa kinabii umelinganishwa na taa inayotoa Mwanga gizani mpaka mwanga unapowadia asubuhi.
# Na nyota za mawio zionekanapo katika mioyo yenu
Nyota ya asubuhi ni Kristo anayekuja kuishi kwenye mioyo yetu.
# isipokuwa wanadamu waliwezeshwa na Roho mtakatifu aliyeongea toka kwa Mungu
Roho mtakatifu aliwaongoza watu hawa, kwa hiyo waliongea ambacho Mungu alitaka waongee.