# Tunalo hili neno la unabii lililothibitika Perto anamaanisha wale Mitume. Mitume wnaujumbe kutoka kwa malaika ambao wanajua kuwa ndiyo ukweli kutoka kwa Mungu # Ambalo kwalo mwafanya vyema kulitekeleza Petro anawaelekeza waumini kuwa na utayari kwa jumbe za kinabii # Ni kama taa ing'aayo gizani mpaka kunapokucha Ujumbe wa kinabii umelinganishwa na taa inayotoa Mwanga gizani mpaka mwanga unapowadia asubuhi. # Na nyota za mawio zionekanapo katika mioyo yenu Nyota ya asubuhi ni Kristo anayekuja kuishi kwenye mioyo yetu. # isipokuwa wanadamu waliwezeshwa na Roho mtakatifu aliyeongea toka kwa Mungu Roho mtakatifu aliwaongoza watu hawa, kwa hiyo waliongea ambacho Mungu alitaka waongee.